SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, July 13, 2010

BongoStar Search 2010 hiyo kwenye kona



Madame Rita Paulse wa Benchmark Productions akitangaza mchana huu jijini Dar kuanza kwa msako wa wenye vipaji wataoshindana katika Bongo Star Search ya mwaka huu.
Madam Rita Paulsen akitangaza kuanza kwa Bongo Star Search 2010

Ratiba ni kama ilivyotundikwa hapa chini
*************************
Kali Ongala na Mrisho Ngassa watajwa Kikosi cha Azam FC
Makamu Mwenyekiti wa timu ya Azam FC, Said Mohamed Said akifafanua suala la mchezaji Mrisho Ngasa aliripotiwa na baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa Yanga kuwa wanataka kumrejesha katika timu yake ya zamani. Hata hivyo Makamu Mwenyekiti huyo alisema kuwa suala la mchezi huyo kujiunga na timu yoyote ni ndoto kwa sasa kutokana na suala la usajili kufikia mwisho ifikapo Julai 14. 2010. idha Mwenyekiti huyo alitumia nafasi hiyo kutangaza kikosi kamili cha timu ya Azam FC kama ifuatavyo hapo chini:issamichuzi.blogspot.com/

0 comments:

Post a Comment