Viongozi wa Vyama serikali na Taasisi mbalimbali wameshiriki vyema katika Ufunguzi wa DIASPORA III ulioanza tarehe 6 na kumalizika tarehe 7 Mei 2011.
Diaspora
ya mwaka huu imekuwa na changamoto kubwa kwa wana Diaspora ambao
walitaka kujua kwa undani nini ambacho kimefanyika tayari tokea
kuanzishwa kwa Diaspora ya Kwanza.
Wimbo wa taifa kabla ya kuanza mkutano.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akifungua Mkutano wa Diaspora nchi Uingereza.
Lulu
Mengala kutoka PPF akimkabidhi Mh. Waziri Membe zawadi kutoka PPF kwa
Ubalozi wa Tanzania na Kisha kumkabidhi Balozi wetu Kallaghe.
Mwenyekiti wa Tanz-Uk Dr.John Lusingu akitoa hotuba.
Mh.
Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa katika Wizara ya kazi,
wabunge wa CUF na CCM na Balozi wa Tanzania na Naibu wake.
Mh. Waziri Membe akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa ubalozi wa Tanzania UK.
Picha ya pamoja.
Wakati wa msosi.
Mh. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, Asha Baraka, Dr. John Lusingu na Mrutu wakijiandaa kuingia mkutanoni.
Mh. Waziri Bernard Membe akiwa na Baraka Baraka kutoka Urban Pulse akimweleza Mheshimiwa mambo mawili matatu.
Abu Faraji (Kushoto) akimkaribisha kwenye mkutano Allen Secondary Secretary kutoka Ubalozini.
Afisa wa Ubalozi Amosi Msangila akiwa na Jestina Goerge Kutoka Miss Jestina Blog baada ya mkutano.
Mh. Waziri Membe akiwa na Jestina kabla ya mkutano.
Na Mo Blog.
0 comments:
Post a Comment