Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, akiwahutubia mamia ya wanafunzi wa shule za Sekondari za Mko wa Tabora wavulana na wasichana na Mirambo wakati wa sherehe za uzinduzi wa upanuzi na ukarabati wa shule ya sekondari Tabora wasichana
uliofanyika jana mkoani humo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi awamu ya kwanza ya ukarabati na upanuzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Tabora unaofanywa kwa hisani ya Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa(UNHCR) uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.7. Kushoto Mkuu wa Shule hiyo Ms Agness Mlelwa (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Abeid Mwinyimsa.
0 comments:
Post a Comment