SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label WACHIMBA MCHANGA WANAVYOZIDI KUUTANUA NA KUONGEZA KINA CHA MTO MSIMBAZI. Show all posts
Showing posts with label WACHIMBA MCHANGA WANAVYOZIDI KUUTANUA NA KUONGEZA KINA CHA MTO MSIMBAZI. Show all posts

Monday, June 2, 2014

WACHIMBA MCHANGA WANAVYOZIDI KUUTANUA NA KUONGEZA KINA CHA MTO MSIMBAZI

Wachimba Mchanga, wakizidi kuutanua mto Msimbazi eneo la Jangwani kwa kuendelea kuchimba mchanga eneo hilo kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto hivi majuzi. Wachimbaji hao wamekuwa wakizidi kuchimba mchanga eneo hilo baada ya mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kukusanya mchanga kwa wingi katika mto huo. Huu ni uharibifu wa Mazingira unaohitaji kukemewa.