Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (kushoto) na aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare pamoja na aliyekuwa mwanasheria wa benki ya stanbic Sioi Solomon wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jioni, ambapo wameshitakiwa kwa tuhuma za kula njama za kutakatisha fedha na kugushi.
aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare.
0 comments:
Post a Comment