
Tanzania
Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la
kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle
soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa
kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia
mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.
Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa


0 comments:
Post a Comment