SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 22, 2015

HAMASIKA: BADILIKA SASA

Umezaliwa kufanya vitu vikubwa. Sasa ni wakati wa kuviruka vikwazo vya woga, ajizi, na hofu yako. Tambua hasa nini unataka katika maisha!

Andika malengo yako unachotaka katika maisha yako na soma zaidi mara nyingi kwa siku.

Jiulize mwenyewe "Niko tayari kuacha nini/kipi ili nipate nachotaka?"

Kufanikiwa maisha makubwa, ni lazima uwe tayari kujitoa kikamilifu. Uandae/Utengeneze ubongo/akili yako kukiendea kile unachokitaka.

Ni lazima utake na upigane kwa kwa ajili kile unachotaka kama vile mtu anazama kwenye maji na anaitaka hewa! 

Amua kutengeneza maisha ambayo si ya kawaida. Kataa kabisa kufanya kidogo au kukata tamaa. 

Usifuate umati wa watu kwa chochote kile wanachosema wanachofikiria juu yako.

Chagua njia sahihi utakayosafiria inayoendana kuelekea ndoto zako. Siku zote amini "Penye nia, pana njia." 

Kwasababu una kitu maalumu. Una kitu kikubwa ndani yako.!!

Maisha ni Yako!! 
Chukua hatua!! sasa!!  
Badili maisha yako!!

Fanya maamuzi yako sahihi Leo usijejutia Kesho.

Ikiwa umeguswa na ungependa  kuufanyia mchakato/kazi ujumbe huu na kubadili maisha yako.
KARIBU

Kwa maelezo zaidi au ushauri usisite Piga +255 783 149 561 WhatsApp +255 783 149 561.  
Ally Shaaban  Mgido

0 comments:

Post a Comment