SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 17, 2015

SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI

Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Aston Villa jana katika Uwanja wa St. Mary's Stadium.

...Mane akifunga bao lake la pili dakika ya 13 kipindi cha kwanza.
...Mane akifunga bao la tatu dakika ya 15 kipindi cha kwanza na kutimiza hat-trick ya aina yake Ligi Kuu ya England jana.(P.T)
Mane akishangilia.
Wachezaji wa Southampton wakishangilia baada ya kushinda bao 6-1 dhidi ya Aston Villa.
Mchezaji wa Southampton, Shane Long akishangilia moja ya bao lake. Long amefunga mabao mawili jana.
Mchezaji wa Southampton wakishangilia kwa pamoja baada ya mechi.

SOUTHAMPTON 4-2-3-1: Gazzaniga 6; Clyne 6.5, Fonte 7, Alderweireld 7, Bertrand 7.5; Wanyama 7, S Davis 7 (Yoshida 73’ 6); Long 8.5, Ward-Prowse 8 (Djuricic 80’), Mane 9; Pelle 8 (Elia 85’)
Subs not used: K Davis, Gardos, Reed, Targett
Booked: Wanyama
Manager: Ronald Koeman 9
ASTON VILLA 4-1-2-1-2: Given 5.5; Bacuna 4 (Lowton 67’ 4), Okore 4, Vlaar 3, Hutton 4; Westwood 4; Cleverley 4.5, Delph 5; Grealish 5 (Sinclair 81’); Benteke 5, N’Zogbia 4 (Agbonlahor 57’ 5)
Subs not used: Guzan, Weimann, Senderos, Sanchez
Booked: Westwood
Manager: Tim Sherwood 5
Referee: Robert Madley 7
MoM: Mane
Attendance: 31,636
NA MJENGWA BLOG

0 comments:

Post a Comment