Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China
nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya
wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.
Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein
Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi
Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said
Meck Sadick,
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa
JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam
Jumamosi 10, 2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba
za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam
Jumamosi 10, 2015.
Sehemu
nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa na Rais Kikwete
Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.
Wasanii
wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa sherehe za
uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa na
Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe
Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein
Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto
jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba za kisasa za
makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10,
2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
wadau mbalimbali wa mradi huo wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya
wanajeshi baada ya kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi
Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015.(PICHA NA IKULU).
0 comments:
Post a Comment