SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, January 6, 2015

FURAHIA UPYA WAKO NA SIO MWAKA MPYA 2015!!

 Ally Mgido's photo.
HABARI WAPENDWA, KHERI YA MWAKA MPYA 2015,
FURAHIA UPYA WAKO NA SIO MWAKA MPYA 2015!!

MWAKA MPYA NDIO HUU NDIO KWANZA UMEANZA NJOO TUANZE MWAKA SOTE PAMOJA KWA KISHINDO NA TABASAMU LA MAFANIKIO!!


NI MWAKA AMBAO IACHE MVUA YA MAWE YA BARAKA NA MAFANIKIO KWA YEYOTE YULE ALIYETAYARI KUBADILIKA KIMTAZAMO NA KUUCHUKUA HUU MWAKA KWA NAFASI YA KIPEKEE NA KUUFANYIA KAZI NA KUCHAGUA NJIA SAHIHI YA MAFANIKIO.

TUANZE MBIO HIZI ZA KUPEANA VIJITI TOKEA MWANZO WA MSTARI WA KUANZIA JANUARI KWA SPIDI KWELI KWELI HUKU TIKIPEANA VIJITI KWA KILA MMOJA WETU PASIPO KUKATA TAMAA, KUCHOKA, UVIVU, N.K ILI MWISHO WA MSTARI WA KUMALIZA DISEMBA TUKIWA NI WATU WA KUSHANGILIA MAFANIKIO KILA MMOJA WETU AKIWA NA NYUSO YA FURAHA.

MBIO HIZI SIRI YAKE NI MOJA TU TUANZE SASA NA SI KESHO KWANI KIUKWELI HAKUNA SIKU IITWAYO KESHO, KESHO NI UGONJWA HATARI SANA UNAOUA MAFANIKIO YA WATU WENGI KULIKO UGONJWA WOWOTE ULE UNAOUJUA.
WATU WENGI WAMEKUWA HAPO WALIPO SABABU TU YA KESHO!!

NDUGU UKITAKA KUBAKI HAPO ULIPO WEWE UPE NAFASI HUU UGONJWA WA KESHO UCHUKUE NAFASI NI MAJUTO.


MASIKU NI GHALI SANA!! UKIACHA SIKU IPITE BILA KUFANYA KITU KUTIMIZA NDOTO ZAKO KUMBUKA UMESHAPUNGUZA SIKU MOJA KWENYE MAISHA YAKO!!!
MAKE YOUR DAYS COUNT.... DO SOMETHING TOWARDS YOUR DREAMS...

NAMPENDA SANA MAREHEMU JIM ROHN..... HE IS MY ROLE MODEL.
ALIWEZA KUWA MILLIONAIRE (WA DOLLAR) AKIWA NA UMRI WA MIAKA 31.....
**ALITOKEA FAMILIA MASIKINI, 

**HAKUSOMA SANA,
**HAKUWA NA KIPAJI CHOCHOTE!! PENGINE UNAJIULIZA ALIWEZAJE????

LEO NITAKUPA SIRI... MIMI SI TAJIRI BADO LAKINI NAAMINI NAELEKEA SAFARI YANGU YA MAFANIKIO KULE!!

SABABU NIMEIJUA SIRI. SIRI NI MOJA TUU!!!

MTAZAMO!! MTAZAMO!! MTAZAMO!! MTAZAMO!!
UTAJIRI WAKO UNAANZIA KICHWANI KWAKO. UNAWAZA NINI??
ASILIMIA 100 YA MASIKINI NI MASIKINI SABABU WANA MTAZAMO HASI(MGANDO)
*Mimi ni masikini mungu amependa niwe hivi
*Utajiri ni wa wengine mimi nastahili hivi vitu vidogo
*Mimi siwezi nimezaliwa sina uwezo huo
*Ninaumwa/ni mlemavu/nimetoka familia masikini
*Sina mtaji
*Sijasoma
Taja visingizio vyote (NAME ALL EXCUSES......)

NASEMA HIVII, TUNAMTANIA MUNGU, TUNAFUNGA SIKU TATU BILA KULA TUNAMUOMBA ATUTATULIE MATATIZO YA KIPATO HALAFU ANATUKUTANISHA NA OPPORTUNITIES(FURSA) TUNALETA VISINGIZIO (EXCUSES..........)

SASA NJOO MAWAZO YA MATIJIRI.... MATAJIRI WANAWAZA POSIBILITIES TUUU.
YAANI WANAWAZA NI JINSI GANI JAMBO FULANI HATA LIWE GUMU VIPI LITAWEZEKANA.


TOFAUTI NA MASIKINI YEYE KILA SIKU ANAPOTEZA MUDA KUWAZA JINSI GANI MAMBO HAYAWEZEKANI...

*Ninaweza
*Kama wengine wanaweza ninaweza kufanya vizuri zaidi
*Kwa nini sio mimi
*Kwa nini sio sasa hivi
*Ninaanza sasa hivi


JAMANI UMASIKINI WAKO UPO KICHWANI KWAKO.....
SAFISHA KICHWA CHAKO.... ONDOA TAKATAKA ZOTE ZA NEGATIVITY....
SAFISHA, NASEMA SAFISHA MAWAZO YAKO. 

ANZA KUFIKIRIA JINSI GANI UTAWEZA KUFANYA BIASHARA YAKO!!
ONDOA KABISA MAWAZO YA KIMASIKINI.... 

Ally Mgido's photo.
"NJOO TUKUSHIKE MKONO TUFANIKIWE PAMOJA."
YOUR DREAMS OUR PLAN,
SMILE THERE IS ANOTHER WAY!
PIGA +255 783 449 561 AU WHATSAPP

Ally Mgido's photo.Ally Mgido's photo.Ally Mgido's photo.

0 comments:

Post a Comment