" Happy Birthday To Us........"
Wadau wa ENGEN wakiendelea kuchukua taswira mbali mbali wakati wa kusherehekea Miaka 21 ya kuanzishwa kwa kampuni yao.
Wadau wa ENGEN katika pozi la picha.
Cheaaaazzzzzz........
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania,Mubita Akapelwa (wa tatu
kulia) akizungumza jambo wakati wa Sherehe yao ya kuadhimisha miaka 21
ya kuanzishwa kwa Kampuni yao,katika tafrija fupi iliyofanyika leo
kwenye Makao Makuu ya Kampuni hiyo,Kurasini jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Meneja Masoko wa Kampuni hiyo,Shaaban Kayungilo akipitisa sahani ya Keki kwa wafanyakazi wenzake.
"Kata Kekiiii ......Tuleeeeee...... Kata Kekiiiii........."Mkurugeni Mkuu akilifanya zoezi hilo.
Mdau Yonah Nkurlu akifurahi baada ya kufungua shampeni.
"Boss chukua keki"
Wadau wakifanya mambo ili kunogesha sherehe hiyo.
Keki ikikatwa vipande vipande.
Meneja
Masoko wa Kampuni hiyo,Shaaban Kayungilo akichua kipande cha Keki
iliyokatwa vyema na Dada Jullieth Lwato (alieshika sahani) wakati wa
Kusherehekea Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo
husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo,iliyofanyika kwenye
Makao Makuu ya Ofisi za Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam.
Wadau wakijisevia keki.
NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment