SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 28, 2014

AJALI YA CONTENA LILILOANGUKIA HICE HUKO TEGETA LEO MCHANA


Ajali iliyotokea leo mchana huko maeneo ya Tegeta Kibaoni, ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa Contena hilo lilikuwa likishuka kutokea eneo la wazo na kuferi breki ambapo lilikata kona ya kuelekea Boko lakini likashindwa na kuivaa Hice hiyo iliyokuwa na abiria katika eneo hilo na kuilalia. Aidha imeelezwa kuwa katika ajali hiyo watu wote waliokuwa ndani ya Hice hakuna aliyetoka, ambapo haijaweza kufahamika idadi ya watu hao waliokuwamo ndani ya Hice hiyo.
Ajali....

0 comments:

Post a Comment