Mzoga wa
samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani
Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu.
Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani
30.
Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu, Mtwara wakishuhudia mzoga huo.GPL
Wakazi wa Mtwara wakiukata mzoga huo.
0 comments:
Post a Comment