HIVI NI VIPAJI VIPYA KATIKA MCHEZO WA PIKIPIKI TOKA TANZANIA DAR ES SALAAAM.
WADAU WA MICHEZO MPO WASAIDIENI NA HAWA KUENDELEZA VIPAJI HIVI HUENDA SIKU ZA USONI WAKATULETEA SIFA NA UMAARUFU KATIKA MCHEZO HUU KWA MAANA MICHEZO MINGINE NDIO HIVYO TENA.........!!??
PICHA KWA HISANI YA ZalendoBikers26464
0 comments:
Post a Comment