SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, September 9, 2014

ALIYEZIKWA SIKU NNE ZILIZOPITA AFUKULIWA ,NDUGU WAVUTANA NA MKE WA NDOA WA MAREHEMU

Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilema Kusini wakishiriki katika zoezi la kufukua kaburi kwa ajili kutoa jeneza la marehemu Stephen Assey.
Umati wa wananchi waliofika katika zoezi la ufukuaji wa Kaburi wakishuhudia zoezi hilo.
Vijana waliokuwa wakifanya shuguli za kufukua kaburi na kisha kutoa jeneza lenye miwli wa marehemu Stephen Assey wakisafisha kwa majani jeneza hilo.
Viongozi wa Kijiji cha Masaera wakitizama jeneza ili kuhakikisha endapo upo mwili wa marehemu huyo.
Vijana wawili wakiwa wamebeba jeneza kwa ajili ya kupakia ndani ya gari la Polisi.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Assei likiwa ndani ya gari la Polisi likipelekwa hosptali ya Kilema kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya 
Jamii Kanda ya Kaskazini.

0 comments:

Post a Comment