Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kufanya shoo ya nguvu kwenye Club ya Maisha jijini Dar leo ijumaa na pia atafanya shoo mkoani Dodoma siku ya Jumamosi.
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwa kwenye pozi na Hyperman HK
(kushoto) wa maisha
club mara tu ya kumpokea msanii huyo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya alhamis saa mbili usiku.
Jose Chameleone akipelekwa kwenye gari ili apelekwe Hotelin kwa mapumziko
Akielekea kwenye gari yaani ni shidaaaaaaaa
Picha ya pamoja
0 comments:
Post a Comment