Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mshine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Tanga ili kuwawezesha kuanzisha vikundi vya ujenzi vya vijana.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Galawa.Mashine hizo zilitolewa wakati wa Uzinduzi wa nyumba za bei nafuu Wilayani Mkinga
(Picha na Freddy Maro)
(Picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment