Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia),
akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo,
Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu hatua aliyofikia ya
usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa
msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda kukagua
maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo,
Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa pili
kulia) na Emannuel Isimbula.
PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO
0 comments:
Post a Comment