Mgombea
wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe
Nyusi pamoja na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana wakivishwa skafu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege mkoani
Tanga ambapo alikutana na Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa
Filipe Nyusi akishiriki kucheza ngoma na wenyeji wa Tanga waliojitokeza
wakati wa mapokezi.
Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha FRELIMO Mheshimiwa
Filipe Nyusi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Chiku
Galawa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama
cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi katika Ikulu ya Tanga ambapo
walifanya mazungumzo.
Mgombea
wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi
akimsalimia Mzee Said Mbaruku wa Tanga wakati alipomtembelea Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye
mazungumzo na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO
Mheshimiwa Filipe Nyusi,Ikulu mjini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea
wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi
pamoja na Mbunge wa Tanga Mjini Mheshimiwa Omar Nundu nje ya Ikulu mjini
Tanga.
Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea wa Urais wa
Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi wakiwa kwenye
picha ya pamoja Ikulu Ndogo mjini Tanga,wengine katika picha ni Komredi
Oscar Monteiro,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Mbunge wa
tanga mjini Mh.Omar Nundu ,WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika na Viongozi wengine kutoka Msumbiji
Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mgombea wa
Urais wa
Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi mara baada ya
kumaliza mazungumzo Ikulu mkoani Tanga.
0 comments:
Post a Comment