Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangali meno ya Tembo katika kituo
cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya ya
Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo
kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo
Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo
cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili
kulia)
akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduki
iliyokamtwa
pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili
(KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida
juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo
Wilaya ya
Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya
Chamwino
Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande
(wapili kushoto) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu meno
ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati,
kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni
katika Kijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji
caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Lazaro(wapili kushoto) na Mkuu wa Wilaya Mayoni Mkoani
Singida, Fatma Toufiq (kushoto) wakiangalia meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi
dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya hiyo juzi, yaliyokamtwa
hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani
Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi
karibuni. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,
Robert Mande.