|
Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete. |
|
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi. |
|
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi. |
|
Rais
Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi
Ibrahim Msengi. |
|
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi. |
|
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya rais
kuwasili ikulu mjini Moshi kwa ajili ya ziara wilayani Mwanga . |
|
Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali. |
|
Baadhi ya wageni wakisalimiana |
|
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akiteta jambo na mkuu wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi ,Matanga Mbushi. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.