Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi
wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,
(Muungano) Samia Suluhu, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Muungano
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini
Zanzibar leo.
Baadhi
ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort, leo.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort, leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais, Mohamed Aboud, akizungumza wakati wa Kongamano hilo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza
machache wakati akimkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua Kongamano la
Muungano leo.
Viongozi
waliohudhuria Kongamano hilo, wakiwa meza kuu. Wa pili (kulia) Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa kwanza kushoto) Makamu wa pili wa Rais wa Zanznibar, Balozi Seif
Iddi, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano) na (kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais,
Mohamed Aboud.