Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasabahi wananchi wa kijiji cha Nyumbigwa ambapo alikagua mradi wa maji.
Mbunge
wa Viti Maalum Josephine Gezabuke akizungumza na wananchi wakati
waziara ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana kukagua mradi wa maji wa
kijiji cha Nyumbigwa
Diwani
wa Kata ya Nyumbigwa Benjamini Chalukula akiwa amebebwa juu na wananchi
wa kata yake ikiwa ishara ya kuwatumikia vizuri wakati Katibu Mkuu wa
CCM alipofanya ziara kwenye kata hiyo iliyopo wilaya ya Kasulu mkoani
Kigoma.
Tanki la maji la kijiji cha Nyambigwa lina uwezo wa kubeba lita 290,975 na kuwahudumia zaidi ya watu elfu 11