Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher Ngubiagai
akifungua kongamano la Siku moja kwa Vijana wa CCM Mkoa wa Vyuo Vikuu
ambalo lilikuwa la kumenzi Hayati Amani Abeid Karume, na kufanyika
katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam Aprili 7, 2014.
Makada hao wakifuatilia mada za Kumuenzi Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanzania, Mzee Karume.
Washiriki hao walitoka katika vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam.