Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao jana katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.