Mhe. Habumuremyi kwa pamoja na Mhe. Mahadhi wakiangalia burudani iliyokuwa ikitolewa na moja ya kikundi cha ngoma Uwanjani hapo. |
Mhe. Dkt. Maalim akizungumza na Mhe. Habumuremyi huku Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Dkt. Benjamin Rugangazi akisikiliza. |
Mhe. Habumuremyi na Mhe. Dkt. Maalim wakimsikiliza Balozi Rugangazi wakati akiwaeleza jambo. |