Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa, kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014. (Picha na Ofifi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbanikwa marehemu Kilosa achi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)