Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa akitoa hotuba yake.
Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akizungumza.
Waziri
wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akitoa
hotuba kwa Niaba ya Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alipaswa kuwa
mgeni rasmi.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Waziri wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo jijini Arusha leo.
Waziri
wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara
akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la
uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali Afrika
2014 (DBSF)ulioanza leo jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa
Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin
akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),
Prof. John Nkomwa.
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara
akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9
la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali
Afrika 2014 (DBSF)ulioanza leo jijini Arusha. Katikati ni Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa.
Baadhi ya waalikwa ambao ni viongozi wa Vituo vya televisheni nchini Tanzania
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya TCRA wakifuatilia mijadala katika kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa akizungumza.
Meneja
Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy ambaye pia ndiye Mwendeshaji wa
kongamano hilo, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habbi
Gunze wakati wa kongamano hilo leo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akishikana mkono na Katibu Mtendaji wa Shirika la
Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim Unwin (kulia) baada ya Waziri
Mukangara kufungua kongamano la tisa la mabadiliko
ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha jana. Kushoto
ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John
Nkoma (katikati)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Umoja wa mashirika ya
Posta Afrika (PAPU), Younouss Djibrine (kushoto) baada ya Waziri Mukangara
kufungua kongamano la tisa la mabadiliko
ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha leo. Wengine
ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO)
Tim Unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Prof. John Nkoma (wapili kushoto)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akizungumza jambo na Katibu Mtendaji wa Shirika la
Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (katikati) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano
la tisa la mabadiliko ya mfumo wa
utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha leo.
0 comments:
Post a Comment