
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Bulaya akichangia hoja juu
kuhusu Kanuni za Bunge, Dodoma jana. Bulaya, ambaye ni Mbunge wa Viti
Maalumu (CCM), aliunga mkono hoja ya kura za siri. Picha na Emmanuel
Herman
---
Wajumbe watatu wa Bunge la Katiba ambao ni wabunge wa CCM
wametofautiana na msimamo wa chama chao kwa kuunga mkono kura ya siri
itumike kuamua ibara za Rasimu ya Katiba.Hilo lilitokea jana katika
mjadala mkali baina ya wajumbe kuhusu ama matumizi ya kura za siri
yatumike au kura za wazi.
Katika mjadala huo ulioonyesha mgawanyiko wa wazi,
wajumbe wengi wanaotokana CCM na ambao wamekuwa wakipigania kura za
wazi, walionekana kuwazidi kwa wingi wale wanaotaka kura za siri.
Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.=====>>




0 comments:
Post a Comment