Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa
Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini,
uliofanyika jana kwenye Hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala
Uganda, ambapo Tanzania imeshiriki Mkutano huo kama Mwalikwa.
Rais
wa Uganda Yoweri Museven, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa
Nne wa wakuu wa Nchi wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini.
Umoja huo unaundwa na nchi za Uganda, Kenya, Rwanda na Sudan
Kusini,Tanzania na Burundi zimeshiriki mkutano huo kama nchi waalikwa
ambao pamoja na mambo megine waliyojadili ni kukamilisha miradi
mbalimbali inayofanywa kwa pamoja na ushirikiano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akizungumza katika mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(kushoto) na Rais wa Burundi Gervas Rufykiri, wakitia saini kushiriki
katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo Ujumbe wa Tanzania.....
Makamu
wa Rais Dkt Bilal (katikati) akizungumza na Rais wa Uganda Yower
Museven (kulia) baada ya Mkutano huo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment