Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano
Mkuu wa Jumuiya ya Istiqaama, jana Feb 01, 2014. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya
ya Istiqaama, uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya Wanachama wa Jumuiya ya Istiqaama, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
alipokuwa akihutubia kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo katika
Ukumbi wa Karimjee.
Picha ya pamoja baada ya kufunguliwa mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,
baada ya kufungua rasmi Mkuu wa Jumuiya hiyo katika Ukumbi wa Karimjee.
(Picha na OMR).
(Picha na OMR).
0 comments:
Post a Comment