Kaimu
Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Florens Turuka (kulia) akitangaza majina ya
Wajumbe wa Bunge la Katiba jana jijini Dares Salaam ikulu kushoto ni Bw.
Salva Rweyemamu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasliano Ikulu
Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam. Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka jana.
Mpiga picha wa Gazeti la Mawananchi
Fidelis Felix akitafakuri kwa makini wakati Naibu Katibu Mkuu Kiongozi
Florens Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge la Katiba jana.ikulu.
salaam.
0 comments:
Post a Comment