Kocha
wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki dunia,
akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini Madrid,
daktari Pedro Guillen amethibitisha.
Kocha
huyu atakumbukwa kwa kuiongoza Hispania katika awamu mpya ya mafanikio
mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada
ya hapo alistaafu na kumpisha Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia
mwaka 2004 - 2008.
WASIFU WA ARAGONES
NA SHAFFIH DAUDA
0 comments:
Post a Comment