Muendeshaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Georgina Lema akiongea nano katika Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion kwenye maada ya Majukumu ya Mama katika Familia
Mubelwa Bandio pia akichangia maada katika kipindi cha Familia kinachoendeshwa na Dada Georgina Lema.
Baybe Mgaza akichangia kwenye Kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia.
Mgeni wetu rasmi kwenye kipindi cha FAMILIA walikua ni Mayor Mlima.
Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu ya WAJIBU WA MZAZI KATIKA FAMILIA na kwa wiki hii, tumejadili WAJIBU WA MAMA KATIKA FAMILIA.
Mbali na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK
Karibu uungane nasi
0 comments:
Post a Comment