KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kati) na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha_rose Migiro, katika ujenzi soko la Kata ya Mwambani, Makongolosi, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Migiro wakishiriki ujenzi wa bweni la wasichana shule ya Sekondari Kapalala, wilayani Chunya mkoani Mbeya. Des 1, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifunga skrubu wakati akiweka mlango kwenye nyumba ya walimu nawatumishi wahospitali, Saza, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Kulia ni DC Mbeya Kandoro.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akikagua bweni la wasichana, shule ya sekondari Maweni, Kata ya Mwambani, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013. Wapili kushoto ni Mkuu wa shule hiyo Elly Mnyalape.
Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Gegwa Luhende, baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama, katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua lambo la kunyweshea mifugo katika kijiji cha wafugaji cha Mteka, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Absulrahman Kinana akiwa na zawadi ya mtumbwi aliopewa na wazee katika kijiji cha Udinde, Chunya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani MbeyaDes Mosi, 2013.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuungurumisha ngoma inayotumbuizwa kwa mtungi na kigoda, katika kijiji cha Udinde, Chunya.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakila chakula cha asilia ya jamii ya wafugaji wa Kisukuma, katika msitu wa kijiji cha wafugaji hao cha Mteka, Chunya, wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia ya kuzitatua, mkoani Mbeya Des Mosi, 2013.
Picha Zote na Bashir Nkromo
0 comments:
Post a Comment