Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akipeana
mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakati akipokea Msaada
wa Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni ya Uchapishaji wa Magazeti ya Serikali
(Tanzania Standard Newspapers),wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo nje ya
Jengo la Golden Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa
TSN,Gabriel Nderumaki.
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) na
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa wamepanda pikikipi hizo
ikiwa ni ishara ya kuzizindua kwa ajili ya Matumizi.
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akipanda kwenye
moja ya pikipiki hizo.
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba yake
wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini
Tanzania,Mh. Lu Younqing akizunzumza machache wakati wa hafla
hiyo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa
TSN,Gabriel Nderumaki akizungumza.
Mwenyekiti wa Bodi ya
TSN,Prof. Moses Warioba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni
Rasmi,Mh. Dkt. Fenella Mukangara kuzungumza na Wafanyakazi wa TSN na wageni
mbali mbali kutoka China.
Mwenyekiti wa
Wafanabiashara wa China,Bw. Huan Zan Sen akizungumza
machache.
Mwenyekiti wa Bodi ya
TSN,Prof. Moses Warioba (kushoto) akimkabidhi Zawadi kwa Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella
Mukangara
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akikabidhi zawadi
kwa Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing.
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.
Meza
Kuu.
Baadhi ya Wafanakazi wa
Kampuni ya TSN kutoka katika Idara mbali mbali.
Picha ya
Pamoja.
0 comments:
Post a Comment