Mwanamziki
mashuhuri Tanzania, anayejulikana kama Afande Sele Amejiunga na M4C, kwa kuingia
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mji wa morogoro ulirindima vifijo wakati
Afande akizunguka na Msafara wa Piki Piki kuwaaga rasmi wale wasio na misimamo
thabiti Kisiasa, kama inavyoonekana katika picha. kwa upande mwingine wapenzi wa
CCM walionekana kuwa nahofu na uchungu, na walihisi sasa mambo yanazidi kuwa
magumu sana kwao.
Kata ya mafiga wa upande wake ilionekana kutekwa kabisa na CHADEMA, huku katika mkutano wa Ndani Afande Sele alichaguliwa kushika nafasi ya Uenyekiti wa kata hiyo, katika kipindi hiki cha kushusha chama kwa wananchi (Program ya Chadema ni msingi), ambayo imekuwa mwiba mkali kwa CCM.

0 comments:
Post a Comment