Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akiteremka katika ndege ya Serikali alipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani
huko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi
mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani
huko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama isara ya uzinduzi wa kituo cha
kununulia Karafuu cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba,akiwa
katika ziara maalum kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia Karafuu katika kituo cha Chanjaani-Mtambwe
Wilaya ya Wete Pemba baada ya kkukifua rasmi kituo hicho cha kununulia zao
hilo,akiwa katika ziara maalum kwa mikoa ya
Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi baada ya kuapata maelezo na kuona
hali halisi ya ununuzi wa zao la Karafuu katika kituo cha
Chanjaani_Mtambwe,baada ya kukifungua kituo hicho akiwa katika ziara maalum
katika Mikoa ya Pemba .Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment