Tuesday, November 19, 2013
Watu saba wamefariki dunia papo hapo na watano wamejeruhiwa katika ajali mbaya baada ya gari aina ya Toyota Noah ikiwa na abiria ikitokea Gairo kwenda mjini Morogoro kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la ranch Dakawa barabara ya Morogoro Dodoma wilayani mvomero mkoani Morogoro.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Tuesday, November 19, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment