Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar alipowasili katika viwanja vya bwawani kupokea maandamano na kuwahutubia katika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Vyama Shirikishi vya Wafanyakazi Zanzibar akipokea maandamano hayo ikiwa ni maadhimishi ya Siku ya Wafanyakazi Duniani husherehekewa kila mwaka mwezi Mei Mosi.
Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi ZATUC wakipita mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar.
Wafanyakazi Bora kwa mwaka 2013/2014 wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohamed Shein,
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakiwa na bangolao lenye ujumbe kama unavyosomeka
Wafanyakazi wa Benk Kuu ya Tanzania wakishiriki sherehe za mei mosiWafanyakazi wa Shirika la Bandari wakipita mbele ya mgeni rasmin na kusalimia