Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya
Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla
ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government
Partnership.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jiji la
London nchini Uingereza jana jioni.
Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment