Picha ya Marehemu
Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kutoka
salamu za rambi rambi katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili
wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Ibada ilkiendelea wakati wa
shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo
Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Taratibu za Kumuombea
Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi ikiendelea leo kwenye Viwanya vya Karemjee,Jijini
Dar es Salaam.
Jeneza lenye Mwili wa
Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi likiwekwa sawa tayari kwa kuaza kwa zoezi la kutoa
Heshima za Mwisho.
Viongozi wa Dini wakitoa
heshima za mwisho
Watawa wa Kanisa Katoliki
wakitoa heshima kwa Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo
Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.
Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif Hamad akitoa heshima za
mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya
jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya
kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.
Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya
Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye
mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Katika na
Sheria,Mh. Angella Kairuki akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili
wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Tume
ya Katiba,Mh. Jaji Augustine Ramadhan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili
huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.
Dkt. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.
Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi
Vuai Nahodha akiambatana na Mh. Hamad Rashid wakitoa heshima za mwisho mbele ya
jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya
kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
NCCR Mageuzi,Mh. James Mbatia na Mkewe wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili
huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Mh. Stephen Wassira akitoa
heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi,
wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na
Madini,Mh. Prof. Sospeter Muhongo akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye
mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Uchukuzi,Mh.
Mwakyembe.
Inspekta Jenelari wa
Polisi,Said Mwema.
Kamanda
Kova.
Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenela
Mukangara
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Mwenyekiti wa Chama cha
CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili
wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh.
Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Familia ya
Marehemu.
0 comments:
Post a Comment