MAHAKAMA
ya mwanzo, mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au
kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita
walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya
Vodacom kati ya Mbeya city na Tanzania Prisons. Habari kamili
inakuja
Na Mbeya yetu
Na Mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment