Kamishina
wa Polisi Kanda ya Maalum Dar es Salaa, Suleima Kova akiwasiliana na
askari wa doria katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, baada ya
kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini kukabidhiwa gari lenye mawasiliano
kutoka kwa wadau wa Polisi Jamii Manispaa ya Kinondoni.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akitoa hotuba yake wakati wa
hafla fupi ya makabidhiano ya gari dogo litakalotumika kwa ajili ya
shughuli za kipelelezi katika kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama
jijini Dar es Salaam. Gari hilo limetolewa na wadau wa Polisi Jamii.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimkabidhi cheti cha shukrani
mmoja wa wadau waliofanikisha upatikanaji wa gari hilo
Picha ya pamoja.Picha na Francis Dande
0 comments:
Post a Comment