Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama Ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh
Joel Bendera Kulia, akiwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh
Innocent Kalogeris wakati wa uzinduzi wa Zoezi la kuondoa Mifugo katika
Wilaya ya Morogoro Vijijini.Lililozinduliwa Katika Kijiji cha Dutumi
morogoro vijijini.Zoezi hilo limewashirikisha wadau mbalimbali.Baadhi ya
wadau watakaoshiriki katika zoezi hilo ni Halmashauri ya wilaya ya
Morogoro vijijini,Pori la udizungwa,Tanapa,Wami mbiki pamoja na Poro la
selou.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Morogoro vijijini Mh Kibena Kingo
Askari
wa Jeshi la polisi watakaosimamia zoezi hilo tayari kwa kuanza zoezi
la kuondoa mifugo katika wilaya ya Morogoro Vijijini.
Askari
wea Jeshi la polisi watakaosimamia zoezi hilo tayari kwa kuanza zoezi
la kuondoa mifugo katika wilaya ya Morogoro Vijijini.
Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Morogoro wakiwa kwenye uzinduzi wa zoezi hilo
Diwani akisikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa mkoa wakati wa uzinduzi huo..
Wananchi
wa kijiji cha Dutumi Morogoro Vijijini wakiwa watulivu Kumsikiliza Mkuu
wa mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera wakati wa uzinduzi wa Zoezi hilo
Wananchi
wa morogoro vijijini waliojitokeza kwa wingi wakati wa uzinduzi wa
zoezi la kuondoa wafugaji waliovamia wilaya hiyo pamoja na mapori ya
akiba.
Picha Zote na Audiface Jackson
0 comments:
Post a Comment