Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo kuhusu
mgomo uliopangwa kufanywa na wadau wa usafirishaji nchini wakati akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo pichani)
leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akifafanua sheria namba 30 ya mwaka 1973 ya usalama
barabarani iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2001 inayohusu kiwango cha mwisho
cha uzito wa magari, kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam
Kamishna Suleiman Kova akifuatilia kwa makini.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna
Suleiman Kova akieleza jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kulinda usalama
ili watumiaji wa barabara wasiweze kupata usumbufu huku akisisitiza kuwa
kabla ya Jeshi la polisi kuchukua hatua za kisheria ni vema vyombo
vinavyosimamia usafirishaji vikachukua hatuaKushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli.
Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Ujenzi na Waandishi wa Habari
wakifuatilia kwa makini maelezo toka kwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.
Picha Zote na Eliphace Marwa
0 comments:
Post a Comment