Wateja wa Aitel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya
Airet Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho
ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini
Dar es Salaam.
Afisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa
uzinduzi wa maadhimisho ya wiki wa Wateja yaliyofanyika katika ofisi za
Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono
kuonyesha mshikamano wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akiongea wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika
katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa
pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya
maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake
kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa
pili kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya
maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake
kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika
maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa
wateja Deogratius Hugo.Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika
maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa
wateja Deogratius Hugo.
Ukataji wa keki.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akimlisha mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika
maadhimisho ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Mfanyakazi wa Airtel
Tanzania Angestina.
Na Michuzi MAtukio Blog
0 comments:
Post a Comment