Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na
Viongozi mbali mbli alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani
Hotel,Mjini Unguja kulifungua Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akiwa na
Viongozi mbali mbali walipokuwa wakiangalia maonesho ya Vitabu na kazi
mbali mbali baada ya kulifungua kongamano la siku mbili la Elimu
katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika nje
ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akipata
maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkubwa
Ibrahim,wakati alipotembelea kazi za mafundi uashi jana alipoyazindua
maonesho wakati wa kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) alipotembelea
sehemu ya wanafunzi wasioona wakati wa maonesho baada ya kulifungua
kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
nje ya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(katikati)pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwangalia
watoto waliokuwa wakisoma vitabu wakati wa maonesho,yaliyofanyika
nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana, baada
ya kulifungua kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kulifungua
kongamano la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
lililofanyika jana katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini
Unguja,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,na
MKuu wa Mkoa MjiniMagharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la
siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, na
kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,jana.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment