Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la
Japan(JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la
msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha
Njopeka Wilayni Mkuranga,Mkoa wa Pwani jana.Mradi huo umejengwa kwa
ushirikiano kati ya serikali ya Tanzani na serikali ya Japan.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha
Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo jana.
Picha na Freddy Maro
Picha na Freddy Maro
0 comments:
Post a Comment