Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na
mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi
baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana. Rais Kikwete yupo
katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani
(Picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment